Wednesday, May 19, 2010

UHARIBIFU WA MAZINGIRA









Pamoja na athari zilizopo za uharibifu wa mazingira lakini jamii bado inaendelea kufanya uharibifu katika mazingira yanayowazunguka.

MAFUNZO YA UPIGAJI PICHA ZA HABARI

Kijakazi Yunus na Mary Mpandula wakiandika maelezo ya picha walizopiga wakati wa mafunzo
Kutoka kulia ni Kijakazi Yunus na Athman Mtepa wakipata maelezo kutoka kwa mwezeshaji wa mafunzo Mwanzo Millinga kutoka FTMT.
waandishi wa habari mkoani Lindi wapata mafunzo ya SIKU 10 ya upigaji picha za habari, yaliyoendeshwa na FLAME TREE MEDIA TRUST (FTMT), kwa ufadhili wa Tanzania Media Fund(TMF).